Habar ndugu zangu . naomben msaada kuna mtoto wa ndugu yangu nimekuja kumuona huku kijijin bahat mbaya ana tatizo la ulimi mzito yaani hawez kuongea vizuri japo anatamka maneno machache machache kama mama, baba, Dada na kiakili yupo sawa kabisa hana shida yoyote ile na anasikia vizur.
Naomba msaada je anaweza kutibiwa hilo tatizo kwa kukata hiyo mishipa inayosababisha ulimi kuwa mzito au kuna njia nyingine .
Oooh jamanii, mbona umri umeenda,miaka hiyo ni mkubwa na tatizo hilo huwakuta watt mara nyingi chini ya umri wa miaka 4,..hebu tuwasikie madokta wanasemaje,pole mkuu!!!