Msaada: Ulimi wa mtoto ni mzito, hawezi kuongea

Msaada: Ulimi wa mtoto ni mzito, hawezi kuongea

kichakaa man

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2011
Posts
5,500
Reaction score
5,164
Habar ndugu zangu . naomben msaada kuna mtoto wa ndugu yangu nimekuja kumuona huku kijijin bahat mbaya ana tatizo la ulimi mzito yaani hawez kuongea vizuri japo anatamka maneno machache machache kama mama, baba, Dada na kiakili yupo sawa kabisa hana shida yoyote ile na anasikia vizur.

Naomba msaada je anaweza kutibiwa hilo tatizo kwa kukata hiyo mishipa inayosababisha ulimi kuwa mzito au kuna njia nyingine .

Kijana ana umri wa miaka 13
 
Mbona mmemchelewesha sana, tatizo hili linajitokeza kuanzia umri wa miaka miwili sasa huyu si ameshakuwa kilema
 
Oooh jamanii, mbona umri umeenda,miaka hiyo ni mkubwa na tatizo hilo huwakuta watt mara nyingi chini ya umri wa miaka 4,..hebu tuwasikie madokta wanasemaje,pole mkuu!!!
 
Back
Top Bottom