Msaada unahitajika hapa wakuu

makakara

Member
Joined
Feb 14, 2013
Posts
30
Reaction score
2
Wandugu habari zenu,

Wakuu naombeni yeyote ambaye anafahamu/ ama alisha wahikutumia dawa za kimasai za kukuza maumbile ya kiume jamani anisaidie na mimi nipate, nina tatizo la maumbile madogo nimeskia zipo zawa za miti shamba za kutibu hili tatizo langu, naombeni wakuu mnisaidie pia utakuwa umesaidia wengi, nina miaka 23.
 
huo mti nakumbuka kipindi tunakuwa tulikuwa tunauona sana tukienda kupiga ndege kwa manati nakumbuka ilikuwa ni mbagala siku hizi haupo tena
ucjalibu kutumia huo mti unawasha vbaya sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…