Wandugu habari zenu,
Wakuu naombeni yeyote ambaye anafahamu/ ama alisha wahikutumia dawa za kimasai za kukuza maumbile ya kiume jamani anisaidie na mimi nipate, nina tatizo la maumbile madogo nimeskia zipo zawa za miti shamba za kutibu hili tatizo langu, naombeni wakuu mnisaidie pia utakuwa umesaidia wengi, nina miaka 23.