Msaada unahitajika tafadhali.

Msaada unahitajika tafadhali.

Liwagu

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2017
Posts
5,593
Reaction score
6,754
Ndugu wana body sitaki kuwachosha.
Mada ni je? Mfanyakazi ambae aliachishwa kazi kwa sababu yoyoteile, na hakufanyiwa medical exist.
Baada ya malalamiko katika taasisimbalimbali za sheria ikaonekana anatakiwakufanyiwa medical exist na akakutwa na ugonjwa uliosababishwa na kazialiyokuwa anafanya na kampuni inamtibia kwa Sasa je? Mfanyakazi huyo wa zamani anatakiwa kupata malipoyoyote kwaajili ya kujikimu na familiayake wakati anaendelea na matibabu.

Mfano mwajiri amempangia hotel huyo work-related sehemuambapo ni Karibu na hospital na nimbali na Kwahuyo work-related ambapo ameacha familia.

Naomba ufafanuzi tafadhali.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Mmh!uandika uku unawai mwendo kasi au?!?embu edit bandiko lako!
 
Back
Top Bottom