juliusemassesa
Member
- Aug 26, 2016
- 72
- 37
- Thread starter
- #21
Sawa asante sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole sana ndugu huo ugonjwa unaousema unanitesa sana pambania mapema usiwe sugu ni hatari na ku PM namba zanguHabarini wana JamiiForums?
Nahitaji msaada wa kimawazo nilikuwa natembea siku moja usiku ghafla kifua kikabana na nikahisi kuchoka.
Kesho yake hali iliendelea uchovu sana, mabega kuuma na kuhisi kama nimebebeshwa matofali na kupumua kwa shida tumbo kujaa na kuunguruma kama kuna vitu tumboni na kuwaka moto tumboni na mgongoni.
Nikaamua kwenda hospitali na kufanya vipimo vya mwili mzima full blood picture, ECG, X RAY, ECHO, FIGO, INI, VIDONDA VYA TUMBO na mkojo, majibu yalitoka sina tatizo.
Nikaenda tena hospital zingine nyingi tu nikapima vipipimo hivyo hivyo jibu ni hakuna nimeenda hospital mbalimba kama mara tisa ila jibu hamna ugonjwa ila nina presha tu ambayo baada ya kuanzishiwa dawa ikawa 106/64 pulse rate 68.
Nimekuja kwenda hospital moja tena hapa hapa Arusha nikaandikiwa kipimo cha kumeza mdomoni kinaingia tumboni (OGD) majibu yaliyotoka nina moderate GERD na LES is very weak.
Nikapewa madawa mengi tu lakini hali bado. Swali langu: je, GERD ni hatari hivyo mpaka inanifanya nashindwa kutembea umbali mrefu au kuna kingine? Naombeeni msaada wa mawazo Umri wangu ni miaka 37 jinsia me.
Nipm bas nipate namba zakoPole sana ndugu huo ugonjwa unaousema unanitesa sana pambania mapema usiwe sugu ni hatari na ku PM namba zangu