Msaada unahitajika wa haraka Tafadhali!! Katika hii Biashara ya KUKU

wanyweshe tu mkuu. nakumbuka mama yangu alikuwa mfugaji mzuri sana wa kuku, walikuwa wakiugua hawawezi kunywa dawa, basi anakamata kila mmoja na kumywesha dawa. na kweli baada ya siku chache unaona wanaanza kuchangamka. Ufugaji ulimtoa sana mama yangu, sijui kwa nini aliacha, huwenda ni kwa sababu ya majukumu mengi ya kikazi. usikate tamaa
 
All the best mjasilia , hongera zaidi kwa wazo la kuamua kujiajiri na siyo kukaa kijiweni na kulalamika au kuwa tapeli kama vijana wengi walivyoamua kuishi.
 
nashkuru kwa kunitia moyo.!
 
All the bests bro, MUNGU akusaidie ktk situation hyo. Usikate tamaa kabisa, ups and down ktk biashara ni kawaida. Always kumbuka msemo wangu,
"do or dnt do, there is no opportunity to try"
 
Pole usikate tamaa, pamoja na glucose ongezea vitamin inaongeza kinga. Endelea kuwalisha na kuwanywesha dawa . Haya tunakutana nayo sana kwenye ufugaji ni kawaida. Tunakuombea utavuka tu.
 
asante kwa kuniia moyo! ubarikiwe.
Pole usikate tamaa, pamoja na glucose ongezea vitamin inaongeza kinga. Endelea kuwalisha na kuwanywesha dawa . Haya tunakutana nayo sana kwenye ufugaji ni kawaida. Tunakuombea utavuka tu.
 
thank you it meant a lot...!
All the bests bro, MUNGU akusaidie ktk situation hyo. Usikate tamaa kabisa, ups and down ktk biashara ni kawaida. Always kumbuka msemo wangu,
"do or dnt do, there is no opportunity to try"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…