nimenunua glookoz ya kuku na wakati huo huo nawapa dawa fulaniivi antiobitic nimepewa na dokta wa mifungo pale ubungo! unakuta jogoo mkubwa aina ya kuchi ameregea mpaka ninalia aisei ! asnte kwa ushauri nitafanya hivyo kesho asubuhi maana kwsasa awataweza kunywa labda niwanyeshwe!
wanyweshe tu mkuu. nakumbuka mama yangu alikuwa mfugaji mzuri sana wa kuku, walikuwa wakiugua hawawezi kunywa dawa, basi anakamata kila mmoja na kumywesha dawa. na kweli baada ya siku chache unaona wanaanza kuchangamka. Ufugaji ulimtoa sana mama yangu, sijui kwa nini aliacha, huwenda ni kwa sababu ya majukumu mengi ya kikazi. usikate tamaa