Habar wanajukwaa, naomba kufahamishwa ikiwa marehemu ameacha watoto aliozaa na mama tofauti na ikatokea mmoja wa hao watoto aliachwa na baba akiwa bado anasoma.
Je, Kwenye utaratibu Wa mirathi huyo mtoto atagawana sawa na wenzie au inakuaje?
Naomba kuwasilisha.