Habar wanajukwaa, naomba kufahamishwa ikiwa marehemu ameacha watoto aliozaa na mama tofauti na ikatokea mmoja wa hao watoto aliachwa na baba akiwa bado anasoma.
Je, Kwenye utaratibu Wa mirathi huyo mtoto atagawana sawa na wenzie au inakuaje?
Sasa ukisikia uchawi ndio huu! Kwahiyo unataka kusema urithi wake alisomea? Je kunamaandishi yoyote marehemu aliacha akisema akifa huyu msimpe amesomea urithi wake? Na vipi Kwa aliowalipia mahari? Vipi Kwa mabinti alikochukua mahari na posa zao akajengea nao wachukue nyumba? Acheni roho mbaya gawaneni Kama watoto wababa na mama mmoja na mwenyezi Mungu atawabariki na uzao wenu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.