Msaada: Unaondoaje Ukungu wa nje kwenye kioo cha mbele?

Msaada: Unaondoaje Ukungu wa nje kwenye kioo cha mbele?

Nukta5

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2014
Posts
1,182
Reaction score
1,288
Juz nilienda marangu na gari sasa usiku wakat narudi kulikuwa na baridi gari ikawa inaweka ukungu kwa nje nimejaribu kuwasha heater ta kioo haikubali ilichosaidia ni wiper inafuta kidogo but inarudi palepale, ukikutana na gari inayokuja imewasha taa huoni vizuri kabisa nimeenda nayo hadi sehem za joto ndo kioo kikawa clear.

Je, hali ikitokea kama hivyo natakiwa nifanyeje?
 
Nijuavyo mimi ukungu unakuwa ndani na unakuwa ndani unapofunga vioo vyote, ukifungua vioo unaondoka wenyewe au washa heater na ufunge vioo
 
Juz nilienda marangu na gari sasa usiku wakat narudi kulikuwa na baridi gari ikawa inaweka ukungu kwa nje nimejaribu kuwasha heater ta kioo haikubali ilichosaidia ni wiper inafuta kidogo but inarudi palepale, ukikutana na gari inayokuja imewasha taa huoni vizur kabisa nimeenda nayo hadi sehem za joto ndo kioo kikawa clear. Je hali ikitokea kama hivyo natakiwa nifanyeje?
Fungua vioo vyote au washa AC na hiyo heater yako
 
Back
Top Bottom