Nukta5
JF-Expert Member
- Jun 7, 2014
- 1,182
- 1,288
Juz nilienda marangu na gari sasa usiku wakat narudi kulikuwa na baridi gari ikawa inaweka ukungu kwa nje nimejaribu kuwasha heater ta kioo haikubali ilichosaidia ni wiper inafuta kidogo but inarudi palepale, ukikutana na gari inayokuja imewasha taa huoni vizuri kabisa nimeenda nayo hadi sehem za joto ndo kioo kikawa clear.
Je, hali ikitokea kama hivyo natakiwa nifanyeje?
Je, hali ikitokea kama hivyo natakiwa nifanyeje?