Juz nilienda marangu na gari sasa usiku wakat narudi kulikuwa na baridi gari ikawa inaweka ukungu kwa nje nimejaribu kuwasha heater ta kioo haikubali ilichosaidia ni wiper inafuta kidogo but inarudi palepale, ukikutana na gari inayokuja imewasha taa huoni vizur kabisa nimeenda nayo hadi sehem za joto ndo kioo kikawa clear. Je hali ikitokea kama hivyo natakiwa nifanyeje?