young mdogoo
Senior Member
- Oct 9, 2014
- 120
- 21
Kwa mwanachuo yeyote wa united african university of tanzania naomba anipe info za chuo kidogo, kwasababu naona sipati updated document internet znazohusu hch chuo kw xaiv
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
UTAPELI HUO hakuna chuo hapo
Hii kwa sisi tulioko kilwa masoko ni mpya sana. Ngoja waje wenye updates zaidi.
UTAPELI HUO hakuna chuo hapo
Kipo mkuu..!! Ww tu hukijui, na pia mtoa mada ebu jaribu kukicheki net coz me nilipishana nacho fb wameweka picha za ramani kilipo na jinsi ya kwenda yani utafikaje fikaje, kimcngi zama fb andika jina la chuo utakiona wameweka profile pc ya afrika ikiwa mawinguni, kwalakuongezea n kwamba kinatambulika na tcu
Asante kwa ushirikiano mkuu