James Hungury
JF-Expert Member
- Jun 8, 2013
- 825
- 612
Kuwa makini sana,hao watu huko huuza magari halafu anakuambia ukishavuka mpaka umjulishe,ukishavuka tuu anaenda polisi na kampuni ya insurance anasema ameibiwa gari,Analipwa na bima tena baada ya kukuuzia, kisha kampuni ya bima inataarifu Interpol.Siku interpol wakitembelea tanzania linakamatwa.Na huwa wanauza bei chee haswa.Kama ni gari jipya kabisa hakuna shidahabar wadau,
ninaombba msaada katika hili,
nimepata gari africa kusini nataka nilinunue na kulisafirisha mwenyewe kwa kupitia barabara kwa kukatiza nchi jirani mpka kufika tanzania,nachohitaji kujua je gharama zitakuwa juu au chini?namba za gari limesajiriwa huko huko,mwenye experience juu ya hili anijuze.thanks
Kwa matumizi binafsi sio tatizoYaani hadi lifike bongo kilometer itasoma km imetoka mwezini kwa huo umbali
Siku hizi unakuwa na mikataba ya kisheria na unahakikisha umezijulisha mamlaka zote zinazohusika ikiwemo bimaKuwa makini sana,hao watu huko huuza magari halafu anakuambia ukishavuka mpaka umjulishe,ukishavuka tuu anaenda polisi na kampuni ya insurance anasema ameibiwa gari,Analipwa na bima tena baada ya kukuuzia, kisha kampuni ya bima inataarifu Interpol.Siku interpol wakitembelea tanzania linakamatwa.Na huwa wanauza bei chee haswa.Kama ni gari jipya kabisa hakuna shida
Acha uongo ndugu. Afrika kusini mpaka hapa kuna umbali sawa na kwenda mwezini? Hata km 6,000 hazifikiYaani hadi lifike bongo kilometer itasoma km imetoka mwezini kwa huo umbali
habar wadau,
ninaombba msaada katika hili,
nimepata gari africa kusini nataka nilinunue na kulisafirisha mwenyewe kwa kupitia barabara kwa kukatiza nchi jirani mpka kufika tanzania,nachohitaji kujua je gharama zitakuwa juu au chini?namba za gari limesajiriwa huko huko,mwenye experience juu ya hili anijuze.thanks
Hapana si kweli kutoka Jo burg ni km 3200 tuYaani hadi lifike bongo kilometer itasoma km imetoka mwezini kwa huo umbali
Hiyo nilikuwa zamani mkuu kabla insurance company. Hazijajua huo mchezo , kuna mambo hata hivyo ya kujiridhisha kabla hujalitoa gari south Africa ,Kuwa makini sana,hao watu huko huuza magari halafu anakuambia ukishavuka mpaka umjulishe,ukishavuka tuu anaenda polisi na kampuni ya insurance anasema ameibiwa gari,Analipwa na bima tena baada ya kukuuzia, kisha kampuni ya bima inataarifu Interpol.Siku interpol wakitembelea tanzania linakamatwa.Na huwa wanauza bei chee haswa.Kama ni gari jipya kabisa hakuna shida
Siku hizi hawaweki gari zinazosuburi kulipiwa kodi kwa muda mrefu, kuna grace period ya siku 21, halafu baada ya hapo unaanza kulipia storage , ikipita miez miwili wanapiga mnada.Na ukifika Nakonde kuna utaratibu (form ya kujaza) ikiwa gari inarudi Bondeni au lah, sasa wewe wambie inarudi kisha ikishaingia bongo ipaki sehemu kisha fatilia vibali. Endapo ukiwambia hairudi it means itabaki hapo hapo boda mpaka uilipie ushuru ata kama ni mwaka mzima.
Kwa zababu gari limesajiliwa RSA, Cha kufanya kwanza kabla ya kutoka huko peleka gari kwa vehicle inspector ambao watakuandikia report ambayo utaenda nayo interpol wao watafatilia kisha nao watakuandikia barua ya kusema hilo gari halina tatizo na linaweza kwenda popote
Sasa sijui uko South pande zipi, lakini unaweza kupitia border ya Botswana (Tolkwen Border post) hii inapakana na Gauteng unapitia Mafikeng kutoka Botswna unaendesha mpaka Kazungura Border pst (Bots-Zambia) kutoka Zambia ndio mpaka Bongo,
Au unaweza kupitia Bait Bridge border post (South- Zimbabwe) kisha unaendesha mpaka Chirundu border post (Zimb- Zambi) kisha Zambia to Bongo
Hii ya pili ni nafuu zaidi kwani ni shorter kuliko ile ya kwanza
Gharama labda za mafuta sijajua ulaji wa gari lako, ila gharama zingine huwa za kawaida tu kunakuwa na Insurance ya nchi unayopita, carbon tx na rushwa za hapa na pale hasa Zimbabwe na Zambia
Hiyo njia ya Mozambique sikushauri, hasa kipindi hiki cha
K
Kwahiyo nifanye nini hapo..?gar limesajiriwa south na Niko johnsbrg,msaada tafadhar kwa undani njia za kufanyaNa ukifika Nakonde kuna utaratibu (form ya kujaza) ikiwa gari inarudi Bondeni au lah, sasa wewe wambie inarudi kisha ikishaingia bongo ipaki sehemu kisha fatilia vibali. Endapo ukiwambia hairudi it means itabaki hapo hapo boda mpaka uilipie ushuru ata kama ni mwaka mzima.