Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
iyo certificate inakua katika jina la huyo owner sasa hapo unaweza ukatafuta kitu kinaitwa Trafic register ni bure ila kuwa wewe sio mkazi wa hapo hapo jozzi au pretoria wanatoa iyo kwa rand 1500 rushwa..ukipata trafic register ndio gari linasajiliwa kwa jina lililopo katika iyo trafic register unaambatanisha document zote na iyo trafic register..unaenda hapo Trafic department yoyote unabadili jina halichukui muda...