kitilu the poor
Member
- Aug 31, 2014
- 54
- 76
Hongereni wana jamvi kwa kupata neema ya kuamka hii Leo.
Nimekua muuzaji wa Simu used kwa muda kidogo ambazo nlikua nanunua kwa watumiaji wa hapahapa nchini ila nikapata wazo la kupata Simu toka nje ya Tanzania hasa nchi tajwa hapo juu ili kukwepa changamoto iliyopo nchini kupata Simu za wizi au zinazohusiana sana na matukio ya uhalifu. Hivyo bas ninaomba wanajamvi mnisaidie has a katika masuala machache kama
1. Urahisi wa bei katika nchi tajwa
2. Upatikanaji kwa wingi wa hizo bidhaa hasa SAMSUNG na IPHONE
3. Upatikanaji wa usafiri na gharama zake
4. Gharama za kodi na ushuru
Asante nawasilisha