Msaada upatikanaji wa simu used nje ya tanzania hasa dubai, china na southafrica

Msaada upatikanaji wa simu used nje ya tanzania hasa dubai, china na southafrica

Joined
Aug 31, 2014
Posts
54
Reaction score
76
Hongereni wana jamvi kwa kupata neema ya kuamka hii Leo.

Nimekua muuzaji wa Simu used kwa muda kidogo ambazo nlikua nanunua kwa watumiaji wa hapahapa nchini ila nikapata wazo la kupata Simu toka nje ya Tanzania hasa nchi tajwa hapo juu ili kukwepa changamoto iliyopo nchini kupata Simu za wizi au zinazohusiana sana na matukio ya uhalifu. Hivyo bas ninaomba wanajamvi mnisaidie has a katika masuala machache kama

1. Urahisi wa bei katika nchi tajwa
2. Upatikanaji kwa wingi wa hizo bidhaa hasa SAMSUNG na IPHONE
3. Upatikanaji wa usafiri na gharama zake
4. Gharama za kodi na ushuru

Asante nawasilisha
 
Simu zipo China na Hong Kong,SA zipo used nyingi za wizi tena ambazo sio kabisa kama unaweza ni hizo Nchi mbili haswa Hong Kong wana simu nyingi unaweza kupata faida Tanzania sijajua kama sheria yao ya kubeba simu kwenye mkanda unaposafiri nazo bila betri bado wanaisimamia...Hong Kong simu ni nyingi hutafuti simu na bei zao sio mbaya...
 
Naskuru sana mdau
 
Back
Top Bottom