Msaada: Usafiri wa treni ya abiria kwenda mikoa ya kaskazini 2022 ukoje?

Msaada: Usafiri wa treni ya abiria kwenda mikoa ya kaskazini 2022 ukoje?

DATAZ

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2012
Posts
3,799
Reaction score
10,196
Wadau naomba kuuliza ratiba na nauli kwenda mikoa ya Kilimanjaro na Arusha ikoje?

Pia ushauri wa jumla kuhusu usafiri huu kwa Sasa.

Thanks
 
Back
Top Bottom