Hongera sana kwa wazo zuri kama hilo..biashara hiyo ni nzuri na inalipa haraka kama ukiwa na wateja..hata kutengeneza wateja pia.ni rahisi kwani kwenye maduka na supermarket haya.mayai hutafutwa sana..
Njia ya kuyasafirisha:
kwakua ni nje ya.mkoa unatakiwa uangalizi mkubwa hasa njia ya usafirishaji..kama ni bus unatakiwa kuangalia mabus mazuri haswa yale ya luxury nadhani yanaustaarabu fulani hivi..
unaweza kuchukua pumba ukaweka kwenue ndoo ama box then unapanga mayai katikati..yani unapanga kwa layers..labda kila baada ya mayai kumi au zaidi inategemea ukubwa wa chombo unaweka pumba..au option ya maranda kama wadau walivosema..
Njia nyingine unaweza kuyapanga keenye zile tray za box. tray moja unapanga unafunika na nyingine kwa juu..zikifika tatu/tano unazifunga kwa kudu polepole kuadjust..then unaweka kwenye kisalfeti..mimi husafirisha kwa staili hii kwa tray 30 naweza kupata hasara ya.mayai.10 tu tena yenye kreki ndogo sana.
tusubiri uzoefu wa.wadau wengine kwani hata mimi itanisaidia kwani nafuga kuku wa mayai..kisasa lakini..