Msaada usafirishaji mayai ya kienyeji

Msaada usafirishaji mayai ya kienyeji

TAI DUME

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2014
Posts
9,748
Reaction score
26,238
Wana JF natumai mko poa
Nimepanga kuanza kufanya biashara ya mayai ya kienyeji kwa kuyatoa mkoani na kuyaleta hapa dar.
katika utafiti wangu nimegundua kwamba hii ni biashara ambayo haikulazimu kuwa na mtaji mkubwa sana kwa kuanzia unaweza kuanza hata na laki tatu na ikakulipa nusu kwa nusu endapo utafanikiwa kupata soko la uhakika.
Ninachohitaji kufahamishwa ni njia nzuri ya kusafirisha mayai hayo ili yafike salama hapa dar hata kama gari itapita katika barabra mbovu
Nawasubiri mshishe maujuzi
 
Njia salama niboksi unachanganya naranda nakupanga mayai kw kila hatua.mm nilikuwa nasafirish toka karatu hd dar.

mkuu, hongera kwanza kwa hilo.. vipi gharama za usafirishaji mpaka kuja kupata net profit, hali inakuwaje hapo?

ni kweli kwamba faida ni nusu kwa nusu?
 
mkuu, hongera kwanza kwa hilo.. vipi gharama za usafirishaji mpaka kuja kupata net profit, hali inakuwaje hapo?

ni kweli kwamba faida ni nusu kwa nusu?
Mkuu iyo inategemea na wadau ulionao na soko lako pia. Lakini kwa mikoa mingi saivi yai ni 150 mpk 200 na usafirishaji kwa yai moja ni kati ya sh50 au mia. Kwa dar hasa mitaa ninayoishi mimi bei ya kawaida kwa yai la kienyeji pure ni sh500 na kuna uhaba sana wa mayai ya kienyeji mengi yaliyopo ni ya machotara na watu hawapendi sana. so kwaiyo simpo analysis unaweza ukaona the way inavolipa. Kwa kesi yangu mimi sina haja ya kusafiri kwani kuna wadau wangu wako huko mkoani watanifanyia ukusanyaji na logistics nyingine.
 
NJIA SALAMA NAPARKING YA MAYAI PAMOJA NA CHANGAMOTO ZA SOKO DAR.NITAELEZEA BDYE...nina uzoefu nahyo kazi.
 
Hongera sana kwa wazo zuri kama hilo..biashara hiyo ni nzuri na inalipa haraka kama ukiwa na wateja..hata kutengeneza wateja pia.ni rahisi kwani kwenye maduka na supermarket haya.mayai hutafutwa sana..
Njia ya kuyasafirisha:
kwakua ni nje ya.mkoa unatakiwa uangalizi mkubwa hasa njia ya usafirishaji..kama ni bus unatakiwa kuangalia mabus mazuri haswa yale ya luxury nadhani yanaustaarabu fulani hivi..
unaweza kuchukua pumba ukaweka kwenue ndoo ama box then unapanga mayai katikati..yani unapanga kwa layers..labda kila baada ya mayai kumi au zaidi inategemea ukubwa wa chombo unaweka pumba..au option ya maranda kama wadau walivosema..
Njia nyingine unaweza kuyapanga keenye zile tray za box. tray moja unapanga unafunika na nyingine kwa juu..zikifika tatu/tano unazifunga kwa kudu polepole kuadjust..then unaweka kwenye kisalfeti..mimi husafirisha kwa staili hii kwa tray 30 naweza kupata hasara ya.mayai.10 tu tena yenye kreki ndogo sana.
tusubiri uzoefu wa.wadau wengine kwani hata mimi itanisaidia kwani nafuga kuku wa mayai..kisasa lakini..
 
Thanx umenipa mwanga chief, ngoja tuendelee kujifunza maujuzi humu
 
Usafirishaji unatumia boksi kubw km ya sm au sport sigara zinachukua trey15.unawek randa zambao unapang mayai kwa kichw
 
nasem kichwa kw mana usilaze mayai yatavunjik.unawek mayai kwakusimam wima(kichw)nakuachanish cm kidogo kati yayai nayai
 
utaweka mayai kwawima nakuweka randa then mayai randa nirand mayai.hakikish mayai yote hayajalazw.bdo hapo fung kwakamba
 
Hapo mayai yako yatafika salama hatakama nikwenye raf road.penda kuweka kila boks yatrey 15.box kubw n nzito kubeba
 
USAFIRI;nilikuwa nasafirisha trey45 kwa sh 30alfu toka karatu hd dar kwa dar exp.mayai yalikuwa yanavunjika 7au8.
 
SOKO:Ngoma ilikuwa kwenye soka mara yakwanza nilikuwa naagiza kw rafik angu yy anauza afu ananitumia hela mm namwagizia
 
masoko yalikuw bdo yanasumbua dar ikabid niende mm mwenyw dar kutafuta soko dar sbb suply n kubw demand n ndogo.
 
tulitafuta masoko dar hapo kwenye masupermaket hadi mlimani shoping center wakataka tu-suply mwz nzma bila malipo
 
afu wangalie quality na demand yao ndyo tuchukue tenda.tukagoma.tuliingia the game wakataka expire date na tfda kibali
 
kila tukingia kwnye masupermaket hapo dar namaduka makubw hawataki..tukauliz ni nn hasa tatzo ni bei au nini?jbu cyo bei
 
Back
Top Bottom