GEBA2013 JF-Expert Member Joined Feb 22, 2014 Posts 4,880 Reaction score 6,047 Feb 27, 2014 #21 TATIZO NI mayai mengi yalitok moshi natanga yalikuw mabovu.yaliumiza sna wafanyabiashar.unanunua trey 20 kumi mbovu.
TATIZO NI mayai mengi yalitok moshi natanga yalikuw mabovu.yaliumiza sna wafanyabiashar.unanunua trey 20 kumi mbovu.
GEBA2013 JF-Expert Member Joined Feb 22, 2014 Posts 4,880 Reaction score 6,047 Feb 27, 2014 #22 kuna mama anaka hapo kimara baruti nyuma yabahama alinunua trey 100 toka himo mosh.trey karibia zote mbovu.akamua kuach
kuna mama anaka hapo kimara baruti nyuma yabahama alinunua trey 100 toka himo mosh.trey karibia zote mbovu.akamua kuach
GEBA2013 JF-Expert Member Joined Feb 22, 2014 Posts 4,880 Reaction score 6,047 Feb 27, 2014 #23 Tukapata soko mwenge sokon manzese kw mamoja anayeuza items zakulogea watu.yule mama alituonyeshea mayai yaliyoharibika
Tukapata soko mwenge sokon manzese kw mamoja anayeuza items zakulogea watu.yule mama alituonyeshea mayai yaliyoharibika
GEBA2013 JF-Expert Member Joined Feb 22, 2014 Posts 4,880 Reaction score 6,047 Feb 27, 2014 #24 Anasema aliletewa namteja wake toka singda trey15trey4zikaharibika.yy akawa anauza km yai viza kwa wateja wake.
Anasema aliletewa namteja wake toka singda trey15trey4zikaharibika.yy akawa anauza km yai viza kwa wateja wake.
GEBA2013 JF-Expert Member Joined Feb 22, 2014 Posts 4,880 Reaction score 6,047 Feb 27, 2014 #25 tulimwuzia trey kumi alizipima akarizika.tukapata soko kisutu na magomeni.kote mayai yetu yalifanya vizuri.tukaw na oda
tulimwuzia trey kumi alizipima akarizika.tukapata soko kisutu na magomeni.kote mayai yetu yalifanya vizuri.tukaw na oda
GEBA2013 JF-Expert Member Joined Feb 22, 2014 Posts 4,880 Reaction score 6,047 Feb 27, 2014 #26 Kisitu oda ilikuw kubwa tatzo bei ni alf11 kw trey.mm nikarudi krt kusimamia suply naupimaj wa mayai mazur yan torch pas
Kisitu oda ilikuw kubwa tatzo bei ni alf11 kw trey.mm nikarudi krt kusimamia suply naupimaj wa mayai mazur yan torch pas
GEBA2013 JF-Expert Member Joined Feb 22, 2014 Posts 4,880 Reaction score 6,047 Feb 27, 2014 #27 nikawa mtalamu wakujua mayai mazur kwakutumia tochi.nikawa natuma trey60KILA BDA YACKU4.faida nzur ilikuwepo.
nikawa mtalamu wakujua mayai mazur kwakutumia tochi.nikawa natuma trey60KILA BDA YACKU4.faida nzur ilikuwepo.
GEBA2013 JF-Expert Member Joined Feb 22, 2014 Posts 4,880 Reaction score 6,047 Feb 27, 2014 #28 nilikuwa nanunua try 8000 huku dar nauza 12alfu.garama usafir 30alf.ikfka dar garam ni 15alfu kupeleka sokoni.
nilikuwa nanunua try 8000 huku dar nauza 12alfu.garama usafir 30alf.ikfka dar garam ni 15alfu kupeleka sokoni.
GEBA2013 JF-Expert Member Joined Feb 22, 2014 Posts 4,880 Reaction score 6,047 Feb 27, 2014 #29 Tatzo lilikuja kwenye uaminifu.yule aliyekuwa dar akaendoka nahela iringa mafinga kupand miti.kila nikimpigia kisw kngi
Tatzo lilikuja kwenye uaminifu.yule aliyekuwa dar akaendoka nahela iringa mafinga kupand miti.kila nikimpigia kisw kngi
GEBA2013 JF-Expert Member Joined Feb 22, 2014 Posts 4,880 Reaction score 6,047 Feb 27, 2014 #30 Najua atakuwa amemaliz hela na kashanitapeli.ndyo najipanga tna upya.cna namna.mayai ni mengi huku.cyo yakutafuta
Najua atakuwa amemaliz hela na kashanitapeli.ndyo najipanga tna upya.cna namna.mayai ni mengi huku.cyo yakutafuta
GEBA2013 JF-Expert Member Joined Feb 22, 2014 Posts 4,880 Reaction score 6,047 Feb 27, 2014 #31 Utunzaji wa mayai unakiwe uweke kwenxe sehemu baridi.mayai yasiguse maji au unyevu yataharibika..
ameline JF-Expert Member Joined Jan 8, 2013 Posts 2,292 Reaction score 1,151 Feb 27, 2014 #32 Ushauri; usianze kwa mayai mengi sana..unaweza.kuanza kwa.tray.5.kwani mayai ya.kienyeji huharibika haraka sana
Ushauri; usianze kwa mayai mengi sana..unaweza.kuanza kwa.tray.5.kwani mayai ya.kienyeji huharibika haraka sana
GEBA2013 JF-Expert Member Joined Feb 22, 2014 Posts 4,880 Reaction score 6,047 Feb 27, 2014 #33 TREY5 kw mchanganuo niliyekuonyesh hailip.unatakiw uwe unasuply cyo chn yatrey 40.hapo faid ip😵DA ZIPO KISUTU ILA BEI
TREY5 kw mchanganuo niliyekuonyesh hailip.unatakiw uwe unasuply cyo chn yatrey 40.hapo faid ip😵DA ZIPO KISUTU ILA BEI
GEBA2013 JF-Expert Member Joined Feb 22, 2014 Posts 4,880 Reaction score 6,047 Feb 27, 2014 #34 mayai unatakiwa kupima kw kutumia tochi kwenye giza.km n nzuri utaona inapitisha mwangakote.mayai mazur hayaharibi mapem
mayai unatakiwa kupima kw kutumia tochi kwenye giza.km n nzuri utaona inapitisha mwangakote.mayai mazur hayaharibi mapem
TAI DUME JF-Expert Member Joined Feb 20, 2014 Posts 9,748 Reaction score 26,238 Feb 28, 2014 Thread starter #35 Asante bro, kwanjia iyo nauhakika yatafika salama kutokana na uzoefu wako. Soko kweli ni tatizo lakini kwa sasa naona raia wengi wamehamasika na ulaji wa mayai ya kienyeji
Asante bro, kwanjia iyo nauhakika yatafika salama kutokana na uzoefu wako. Soko kweli ni tatizo lakini kwa sasa naona raia wengi wamehamasika na ulaji wa mayai ya kienyeji
GEBA2013 JF-Expert Member Joined Feb 22, 2014 Posts 4,880 Reaction score 6,047 Feb 28, 2014 #36 NB:Usitumie randa laini ya mbao iliyokama unga.haifai.tumia isiyo ya unga.
katoto22october JF-Expert Member Joined May 9, 2019 Posts 284 Reaction score 263 Nov 11, 2019 #37 GEBA2013 said: nasem kichwa kw mana usilaze mayai yatavunjik.unawek mayai kwakusimam wima(kichw)nakuachanish cm kidogo kati yayai nayai Click to expand... Vp kaka bado unafanya biashara ya mayai
GEBA2013 said: nasem kichwa kw mana usilaze mayai yatavunjik.unawek mayai kwakusimam wima(kichw)nakuachanish cm kidogo kati yayai nayai Click to expand... Vp kaka bado unafanya biashara ya mayai