Msaada usafirishaji mayai ya kienyeji

Msaada usafirishaji mayai ya kienyeji

TATIZO NI mayai mengi yalitok moshi natanga yalikuw mabovu.yaliumiza sna wafanyabiashar.unanunua trey 20 kumi mbovu.
 
kuna mama anaka hapo kimara baruti nyuma yabahama alinunua trey 100 toka himo mosh.trey karibia zote mbovu.akamua kuach
 
Tukapata soko mwenge sokon manzese kw mamoja anayeuza items zakulogea watu.yule mama alituonyeshea mayai yaliyoharibika
 
Anasema aliletewa namteja wake toka singda trey15trey4zikaharibika.yy akawa anauza km yai viza kwa wateja wake.
 
tulimwuzia trey kumi alizipima akarizika.tukapata soko kisutu na magomeni.kote mayai yetu yalifanya vizuri.tukaw na oda
 
Kisitu oda ilikuw kubwa tatzo bei ni alf11 kw trey.mm nikarudi krt kusimamia suply naupimaj wa mayai mazur yan torch pas
 
nikawa mtalamu wakujua mayai mazur kwakutumia tochi.nikawa natuma trey60KILA BDA YACKU4.faida nzur ilikuwepo.
 
nilikuwa nanunua try 8000 huku dar nauza 12alfu.garama usafir 30alf.ikfka dar garam ni 15alfu kupeleka sokoni.
 
Tatzo lilikuja kwenye uaminifu.yule aliyekuwa dar akaendoka nahela iringa mafinga kupand miti.kila nikimpigia kisw kngi
 
Najua atakuwa amemaliz hela na kashanitapeli.ndyo najipanga tna upya.cna namna.mayai ni mengi huku.cyo yakutafuta
 
Utunzaji wa mayai unakiwe uweke kwenxe sehemu baridi.mayai yasiguse maji au unyevu yataharibika..
 
Ushauri; usianze kwa mayai mengi sana..unaweza.kuanza kwa.tray.5.kwani mayai ya.kienyeji huharibika haraka sana
 
TREY5 kw mchanganuo niliyekuonyesh hailip.unatakiw uwe unasuply cyo chn yatrey 40.hapo faid ip😵DA ZIPO KISUTU ILA BEI
 
mayai unatakiwa kupima kw kutumia tochi kwenye giza.km n nzuri utaona inapitisha mwangakote.mayai mazur hayaharibi mapem
 
Asante bro, kwanjia iyo nauhakika yatafika salama kutokana na uzoefu wako. Soko kweli ni tatizo lakini kwa sasa naona raia wengi wamehamasika na ulaji wa mayai ya kienyeji
 
NB:Usitumie randa laini ya mbao iliyokama unga.haifai.tumia isiyo ya unga.
 
Back
Top Bottom