kibenten
JF-Expert Member
- Mar 12, 2018
- 499
- 510
Wiki 2 huko nyuma nikienda kukojoa mkojo ulikuwa unauma afu nikianza kojoa km usaha mwepesi mweupe unatoka nimeenda hosptl tena kubwa na ya gharama na yenye wabobez ktk afya apa twn.
Nikapima mkojo ila cha kushangaza dktar akanambia sina ugonjwa wowote na mkojo wangu uko clean,(hakuna kiini cha ugonjwa wowote kilichoonekana).akanishauri ninye maji mengi sana na nikalitekeleza hilo,,nimekaa wiki 2 bila kuyaona hayo ya mwanzo.
Sasa leo asubuhi nimeamka nimedidisha kama kawaida ya wanaume wa mikoani tulivyo,,nikawa nalishika dushe natak kupiga puchu mana wife kasafiri tena.gafla vikatoka vimajimaji km vile vlivyokuwa vinatoka mwanzo ,,,nishtuka na sielewi nini shida.
Nipeni mawili matatu wana jamviππ