Msaada: Usaha mwepesi unatoka wakati wa haja ndogo

kibenten

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2018
Posts
499
Reaction score
510
Wiki 2 huko nyuma nikienda kukojoa mkojo ulikuwa unauma afu nikianza kojoa km usaha mwepesi mweupe unatoka nimeenda hosptl tena kubwa na ya gharama na yenye wabobez ktk afya apa twn.

Nikapima mkojo ila cha kushangaza dktar akanambia sina ugonjwa wowote na mkojo wangu uko clean,(hakuna kiini cha ugonjwa wowote kilichoonekana).akanishauri ninye maji mengi sana na nikalitekeleza hilo,,nimekaa wiki 2 bila kuyaona hayo ya mwanzo.

Sasa leo asubuhi nimeamka nimedidisha kama kawaida ya wanaume wa mikoani tulivyo,,nikawa nalishika dushe natak kupiga puchu mana wife kasafiri tena.gafla vikatoka vimajimaji km vile vlivyokuwa vinatoka mwanzo ,,,nishtuka na sielewi nini shida.
Nipeni mawili matatu wana jamvi🙏🙏
 
Wiki 2 huko nyuma Nikienda kukojoa mkojo ulikuwa unauma afu nikianza kojoa km usaha mwepesi mweupe unatoka nimeenda hosptl tena kubwa na ya gharama na yenye wabobez ktk afya apa twn.
Nkapima mkojo ila cha kushangaza dktar akanambia sina ugonjwa wowote na mkojo wangu uko clean,(hakuna kiini cha ugonjwa wowote kilichoonekana).akanishauri ninye maji mengi sana na nikalitekeleza hilo,,nimekaa wiki 2 bila kuyaona hayo ya mwanzo.

Sasa leo asubuhi nimeamka nimedidisha kama kawaida ya wanaume wa mikoani tulivyo,,nikawa nalishika dushe natak kupiga puchu mana wife kasafiri tena.gafla vikatoka vimajimaji km vile vlivyokuwa vinatoka mwanzo ,,,nishtuka na sielewi nini shida.
Nipeni mawili matatu wana jamvi[emoji120][emoji120]
Huyo doctor aliekushauri "unye" maji mengi hakutakii mema kabisa
 
Hiyo ni gonorrhoea, nenda hospitali wakufanyie swab ya huo usaha.

Uzuri wake linatibika kwa antibiotics

Ubaya wake unaweza kuwa umegonga na ile kubwa yake Pima na damu.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
hahahah kubwa yake???
Hiyo ni gonorrhoea, nenda hospitali wakufanyie swab ya huo usaha.

Uzuri wake linatibika kwa antibiotics

Ubaya wake unaweza kuwa umegonga na ile kubwa yake Pima na damu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Yani unakojia usahaa unaambiwa hakuna tatzo ukanywe maji mengi...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu Soma vizuri kaandika anye maji mengi
 
Wiki 2 huko nyuma Nikienda kukojoa mkojo ulikuwa unauma afu nikianza kojoa km usaha mwepesi mweupe unatoka nimeenda hosptl tena kubwa na ya gharama na yenye wabobez ktk afya apa twn.
Nkapima mkojo ila cha kushangaza dktar akanambia sina ugonjwa wowote na mkojo wangu uko clean,(hakuna kiini cha ugonjwa wowote kilichoonekana).akanishauri ninye maji mengi sana na nikalitekeleza hilo,,nimekaa wiki 2 bila kuyaona hayo ya mwanzo.

Sasa leo asubuhi nimeamka nimedidisha kama kawaida ya wanaume wa mikoani tulivyo,,nikawa nalishika dushe natak kupiga puchu mana wife kasafiri tena.gafla vikatoka vimajimaji km vile vlivyokuwa vinatoka mwanzo ,,,nishtuka na sielewi nini shida.
Nipeni mawili matatu wana jamvi[emoji120][emoji120]
Wewe ulienda Dispensary sisi tunakushauri nenda hospitalini. Endelea kuuchekea ugonjwa utajikuta unatoa bao lenye funza na virui rui.
 
Endelea kunya maji mengi.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji849]
 
Hiyo ni UTI bila shaka umeipata kwa mkeo ndo maana kasepa au kama unapenda kuonja kuonja basi itakuwa umepata huko unakokujua wewe.

Kuhusu kunywa maji daktari amekushauri vizuri ila ingekuwa vyema daktari Angechukua mkojo ili aufanyie culture...!
Nakushauri kanunue antibiotic
( IV ceftriaxone ig od-5/7 ) uchome sindano
Asante
 
Hiyo ni gonorrhoea, nenda hospitali wakufanyie swab ya huo usaha.

Uzuri wake inatibika kwa antibiotics

Ubaya wake unaweza kuwa umegonga na ile kubwa yake Pima na damu.
.

Asa hiyo usaha inatoka mara moja tu kwa siku tena asubuhi,,nitaichukuaje wakaipime????.

Afu kumbka nlienda kupima wakasema mkojo angu hauna kimelea chochote.
 
Yani unakojia usahaa unaambiwa hakuna tatzo ukanywe maji mengi...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
.

Inakuwaga asubuhi tu kweny mkojo wa kwanza afu ni katone kamoja tu.
 
Wewe ulienda Dispensary sisi tunakushauri nenda hospitalini. Endelea kuuchekea ugonjwa utajikuta unatoa bao lenye funza na virui rui.
.
😀😀😀😀😀😀

Mkuu nilienda KAIRUKI kabisa.
 
Hiyo ni UTI bila shaka umeipata kwa mkeo ndo maana kasepa au kama unapenda kuonja kuonja basi itakuwa umepata huko unakokujua wewe.

Kuhusu kunywa maji daktari amekushauri vizuri ila ingekuwa vyema daktari Angechukua mkojo ili aufanyie culture...!
Nakushauri kanunue antibiotic
( IV ceftriaxone ig od-5/7 ) uchome sindano
Asante
.

Asante mkuu,,,nyie ndo mnatakiea kuwepo kwenye hii dunia.
 
Back
Top Bottom