Mbalizi feedstuff
JF-Expert Member
- Feb 23, 2025
- 238
- 269
Nimeitumia kwa muda tu kwenye Windows 7 awali ilikuwa inafanya kazi vizuri tu,nimeijaribu kwenye pc 3 tofauti lakini wapiMbalizi feedstuff
Unatumia windows gani?
May be drivers za kutambua hardlock zimemiss (hazipo) au ni outdated
Hayo yakifeli kuna njia za kitaalamu za comand prompt unatakiwa uwe mtaalam wa computer kufuata hizo hatua
Haikubali mkuuBadili windows au updates window
Alafu installation ya driver mpya ya hiyo app ni muhimu download mtandaoni
Nielekeze hizo njia za command prompty naijue kutumia dos windowMbalizi feedstuff
Unatumia windows gani?
May be drivers za kutambua hardlock zimemiss (hazipo) au ni outdated
Hayo yakifeli kuna njia za kitaalamu za comand prompt unatakiwa uwe mtaalam wa computer kufuata hizo hatua