Malaika Mkuu
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 902
- 909
Nataka chukua hii gari naombeni mnipe ushauri wadau
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba ushauri mimi ke sio meImekaa kidemu, anaendesha shemeji ako hiyo. Chukua BMW X5
Ngoja aje wifi ako akushauri, mi hata sielewi aliipendea nin hiyo gari though sikuhizi hazionekani kabisa barabarani zimepotea kama vile Xtrail and I'm 100% sure there must be something not ok with it.Naomba ushauri mimi ke sio me
Nataka chukua hii gari naombeni mnipe ushauri wadau
Weka pichamkuu njoo tuongee Murano mbichi kabisa namba DFC ipo dar 0719308160 na haina tatizo lolote
Nissan Murano kama magari mengine, ni ya kawaida ila matunzo ndio muhimu. Usibabaishwe na wasioelewa, gari hii imeuzwa kwa wingi sana na bado zipo barabarani.Nataka chukua hii gari naombeni mnipe ushauri wadau
Hujasema hiyo Nissan Murano unayoikandia sana kwenye post yako ni toleo/model (mwaka) gani? Magari huwa yana improve baada ya kila toleo. Nissan Murano ya 2006 siyo sawa na Nissan Murano ya 2010. Be objective, usifikiri kila mtu ni mbumbumbu. La ziada: experience ya mtu mmoja na gari lake haimaanishi kila gari itakuwa na matatizo hayohayo. Watu wanatofautiana sana kwa matunzo (maintenance) na uendeshaji wao.ukinunua Murano utajutaa, yaani utajuta utapata magonjwa yote ya moyo, presha, stress na kuongea mwenyewe barabarani.
kwa ufupi;
- kwenye murano kuna tatizo la transmission failure na hadi uje kutibu huu ugonjwa utapungua kilo 5.
- kuna tatizo la transfer case kufail na hadi uje kutibu huu ugonjwa utapungua kilo 10
- kuna tatizo la mfumo wa umeme kufail Mara kwa Mara, na hadi uje kutibu huu ugonjwa utapungua kilo 15.
hvyo kwa ujumla ukiwa na murano kuna probability ya kupungua kilo 30 kwa matatizo utayokumbana nayo
Murano vitu Vingi vilikosea hvyo kuleta shida kwa watumiaji hasa wa huku ulimwengu wa tatu(3rd world).
Usichukue hiyo murano, tafuta nyingine
Achana nayo hizo siyo gari.Nataka chukua hii gari naombeni mnipe ushauri wadau
Achana nayo hizo siyo gari.
mmenitia moyo kesho naagiza murano
natumai sasa ushapata mashinemmenitia moyo kesho naagiza murano