Msaada+Ushauri: Nahisi Naloose uwezo wangu wa asili.

Ctech

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2010
Posts
754
Reaction score
818
Mwenyezi Mungu awe pamoja nanyi wana wa Mungu.

mimi ni mwanafunzi katika chuo kimoja hapa DSM nasomea Bachelor ya Civil ENG, tatizo langu ni kwamba ni kama uwezo wangu umepungua.

Kuanzia darasa la kwanza mpaka kidato cha sita nilikuwa nafaulu vizuri sana nikiwa mwanafunzi bora katika kila shule niliyopitia (primary-advance)

Na nilikuwa najijua kuwa nina uwezo binafsi, sasa tatizo linaanza nilipoingia chuo...vitu ni vile vile ila Najikuta nafeli.....Nasoma naelewa ila Najikuta Nasahau sana.

Nifanyeje ili Niregain uwezo wangu? Maana toka nianze chuo sijawahi pata A napata ma c c tu.

Kingine nasahau sana kila nikisoma naelewa ila nasahau haraka....unakuta hata formula baadhi nasahau katikati ya mtihani na nimesoma vizuri tu.

sinywi pombe
sivuti sigara
situmii dawa za kulevya
sijihusishi na mahusiano yoyote ya kimapenzi.

asante
 
tafuta girlfriend hutajutia mkuu, ilimradi tu muendane naye
 
pole sana,it begin with your mind,i guess umekutana na vipanga wenzio,umeloose confidence,nakushauri soma kiasi mchana,then lala vizuri usiku,wanasema ukilala ndio memories ya ulichosoma zinakua consolidated,soma kila siku kwa kiasi,usisubiri mtihani ndio ukeshe...........pia ningependekeza usome kidogo topic halafu usolve swali la mtihani,ukipatia itakupa confidence na ukiendelea kupractice slowly utapata kujiamini tena..
 
Afuate huu ushauri na kama anapiga nyeto aache haraka sana ,, pia usile samak anaitwa pono,,
 
Angalia historia yako na mabadiliko ya kitabia tangu mwanzo na sasa baada ya kufika chuo.

Hata daktari huwezi kumueleza juu-juu namna hiyo akakuelewa.

NB: Kama ulikua unatembelea nyota ya mtu ktk elimu yako ndo basi tena, mwenyewe kazinduka na kuirudisha.
 
Wala usipate tabu...wewe ni mkali wao wa zamani...aka..zilipendwa. pia usisahau kwa kasi hii ya watu wasiojulikana jiandae kufeli sana maana kila mtu kajawa hofu...hakuna aliye salama.
 
pole sana,it begin with your mind,i guess umekutana na vipanga wenzio,umeloose confidence,nakushauri soma kiasi mchana,then lala vizuri usiku,wanasema ukilala ndio memories ya ulichosoma zinakua consolidated,soma kila siku kwa kiasi,usisubiri mtihani ndio ukeshe...........pia ningependekeza usome kidogo topic halafu usolve swali la mtihani,ukipatia itakupa confidence na ukiendelea kupractice slowly utapata kujiamini tena..
asantee sana nimeloose confidence kwelii
 
Angalia historia yako na mabadiliko ya kitabia tangu mwanzo na sasa baada ya kufika chuo.

Hata daktari huwezi kumueleza juu-juu namna hiyo akakuelewa.

NB: Kama ulikua unatembelea nyota ya mtu ktk elimu yako ndo basi tena, mwenyewe kazinduka na kuirudisha.
Nop sijawahi iam naturally talented.....Big Problem ni kwamba Nasahau sanaa!
 
Wala usipate tabu...wewe ni mkali wao wa zamani...aka..zilipendwa. pia usisahau kwa kasi hii ya watu wasiojulikana jiandae kufeli sana maana kila mtu kajawa hofu...hakuna aliye salama.
daah
 
Inawezekana kuanzia primary mpaka advance ulikuwa unafaulu kwa ile trick ya kusoma tuition na kumaliza sylabus haraka , ukawa unapata muda mwingi wa kurudia na kufanya maswali, kitu ambacho chuoni hakipo, hakuna tuition chuo, so unapata changamoto ya kwenda na speed ya walimu, jitahidi ukifundishwa usilale na daftari lisilosomwa kwa mada ya siku hiyo
 
Back
Top Bottom