Mwenyezi Mungu awe pamoja nanyi wana wa Mungu.
mimi ni mwanafunzi katika chuo kimoja hapa DSM nasomea Bachelor ya Civil ENG, tatizo langu ni kwamba ni kama uwezo wangu umepungua.
Kuanzia darasa la kwanza mpaka kidato cha sita nilikuwa nafaulu vizuri sana nikiwa mwanafunzi bora katika kila shule niliyopitia (primary-advance)
Na nilikuwa najijua kuwa nina uwezo binafsi, sasa tatizo linaanza nilipoingia chuo...vitu ni vile vile ila Najikuta nafeli.....Nasoma naelewa ila Najikuta Nasahau sana.
Nifanyeje ili Niregain uwezo wangu? Maana toka nianze chuo sijawahi pata A napata ma c c tu.
Kingine nasahau sana kila nikisoma naelewa ila nasahau haraka....unakuta hata formula baadhi nasahau katikati ya mtihani na nimesoma vizuri tu.
sinywi pombe
sivuti sigara
situmii dawa za kulevya
sijihusishi na mahusiano yoyote ya kimapenzi.
asante