Msaada+Ushauri: Nahisi Naloose uwezo wangu wa asili.

Nilikutana na tatizo kama la kwako nikiwa advanced levo mwaka jana na nilidrop kutoka dvision two niliyoipata kwa starehe olevo mpaka division foo ya mwisho nliyoipata kwa shida sana, kikubwa ni kwamba nilichelewa kugundua tatizo lilitokana na nini, ndugu yangu........ Fanya mambo yafuatayo, acha punyeto....kisha acha punyeto..... Kisha nenda kafanye check up ya macho,narudia kafanye checkup ya macho....kisha angalia na ibada pia..... Mwisho, unaeza usiwe na mpenzi ila akawepo unayempenda, na kutokua nae ndo kunakufanya upige punyeto... Kutokana na stress, nadhani ulisoma bioz..ukiwa na stress unaeza jikuta unatoa manii kwa urahisi sana, ongeza na stress zingine lazima utadrop, kwahio jitahidi pia kujiepusha na vyanzo vya stress, ushauri ..... Tafuta mbinu mbadala na kama huna mpenz usitafute mpenz... Kwaheri mwanachuo
 
Nifundishe vizuri boss
 
Mkuu nipe maelezo zaidi....to be honest nyeto Napigaa
Nyeto inapunguza uwezo wa kufikir na kupoteza kumbukumbu,, jarib kusoma zaid google utaelewa madhara yake ,,

Kutokufanya mapenz kw amuda mrefu hufanya akili izubae kuwa na hasira ,msongo wa mawazo nk

Fanya ngono salama kwa afya yako
 
Mshauri kwenye mapenzi asiingie kbx,
 
Nyeto inapunguza uwezo wa kufikir na kupoteza kumbukumbu,, jarib kusoma zaid google utaelewa madhara yake ,,

Kutokufanya mapenz kw amuda mrefu hufanya akili izubae kuwa na hasira ,msongo wa mawazo nk

Fanya ngono salama kwa afya yako
neema
 
Acha kushika nyoka..dogo unagonga nyeto Sana..hamna kitu kinaleta usahaulifu Kama nyetooo
 
Chaputaaa, nyeto siyo chai oooh, umepungukiwa akili, sooner utapungukiwa nguvu ya mwili, later nguvu za kiume then you know what next!??, acha nyeto japo ngumu ila ww chukulia ukipiga nyeto moja ndo kama unadisco chuo hv
 
Basi kama vyote hapo hutumii inawezekana una msongo wa mawazo sema hujijui. Jichunguze.
 
Unapiga ngapi?
Huyu anaonekana ashakua addicted, yaani ni wale ambao haingii kwenye mahusiano kwasababu anataka asome sana na si hofu ya mungu, sasa mambo yakimzidia na hofu ya mungu hana anajikuta automatically registered in chaputa..... Lazima ufeli kwa staili hiyo, wewe unaona uko pia bt IQ inashuka kwa kiwango kikubwa
 
Baada ya IQ pia inashusha uwezo wa macho, sasa macho ndo organ kuu ya kusomea, yakizingua utasoma kweli, kama utasoma hutaelewa... Na bado kuna magonjwa yanakunyemelea.....
 
Back
Top Bottom