Tanzanite klm
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 478
- 408
Jamani wataalamu wa kufikiri ninataka kununua bajajy lakini sijui ubovu wake na matatizo ambayo zinazo.nataka kuinunua kwa ajili ya biashara ya abiria.
Naomba ushauri wa aina zake na ubovu wake na upatikanaji wa spair zake.
Naomba ushauri wa aina zake na ubovu wake na upatikanaji wa spair zake.