MSAADA:Ushauri Ununuaji wa Bajajy

MSAADA:Ushauri Ununuaji wa Bajajy

Tanzanite klm

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
478
Reaction score
408
Jamani wataalamu wa kufikiri ninataka kununua bajajy lakini sijui ubovu wake na matatizo ambayo zinazo.nataka kuinunua kwa ajili ya biashara ya abiria.
Naomba ushauri wa aina zake na ubovu wake na upatikanaji wa spair zake.
 
uko mkoa gani?unataka ku-buy pkpk ya matairi matatu na bajaj ni moja ya aina ya pkpk ya miguu mitatu.fahamu kuwa kuna piagio.tvs.bajaj etc.nazifahamu zote kwa undani NI BORA UNUNUE TVS coz bajaj ikipita kwenye maji yanayo zamisha tairi zake inazimika na kuwaka mbinde wakati tvs mwendo tu.bajaj chini ina support iliyokaa kam herufi Y ndosababu inapinda kwa haraka kati TVS ina reli 2 kulia na kushoto na kuifanya iwe ngumu kupinda.ila kwa cku bajaj hutumia lt 10 na tvs lt 12 kwa lakini kama unafanya kazi wewe mwenyewe mafanikio yake ni kwa muda mfupi coz kijiweni kwetu nilikuwa naweza kusanya 50 mpaka 70 nimekosa sana 45,service ya bajaji ni rahisi na tvs iko juu ila bajaj kuharibika ni kama kitu cha kawaida better TVS SIMAMIA MAELEKEZO NA SERVICE TU.KWA MENGI ZAIDI NI PM NIKUSAIDIE MKUU.
 
uko mkoa gani?unataka ku-buy pkpk ya matairi matatu na bajaj ni moja ya aina ya pkpk ya miguu mitatu.fahamu kuwa kuna piagio.tvs.bajaj etc.nazifahamu zote kwa undani NI BORA UNUNUE TVS coz bajaj ikipita kwenye maji yanayo zamisha tairi zake inazimika na kuwaka mbinde wakati tvs mwendo tu.bajaj chini ina support iliyokaa kam herufi Y ndosababu inapinda kwa haraka kati TVS ina reli 2 kulia na kushoto na kuifanya iwe ngumu kupinda.ila kwa cku bajaj hutumia lt 10 na tvs lt 12 kwa lakini kama unafanya kazi wewe mwenyewe mafanikio yake ni kwa muda mfupi coz kijiweni kwetu nilikuwa naweza kusanya 50 mpaka 70 nimekosa sana 45,service ya bajaji ni rahisi na tvs iko juu ila bajaj kuharibika ni kama kitu cha kawaida better TVS SIMAMIA MAELEKEZO NA SERVICE TU.KWA MENGI ZAIDI NI PM NIKUSAIDIE MKUU.kumbuka bajaj ugonjwa mkubwa ni difu hata kama ni mpya inaweza haribika.
 
Nashukuru kwa maelezo mazuri,nimeku pm kwa maelezo zaidi,ni pm.
 
Back
Top Bottom