Msaada ushauri wa matibabu ya ngozi yangu

Msaada ushauri wa matibabu ya ngozi yangu

Anastasia21

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2023
Posts
1,056
Reaction score
2,118
Wadau ivi nitumie njia gani kusaidia ngoz yangu iwe sawa maana inasumbuliwa na acne plus scars adi inakua kikwazo.

Skincare tayari ila naona zinanikataa anyway nitumie njia gani au mafuta gani ili iwe sawa yaan na acne adi Kwa mwili na usoni.
 
Tumia sabuni inaitwa "Dove soap" pia tumia roshen ya " Emollient"
 
Nenda kawaone wataalamu wa ngozi watakusaidia

Kama upo Dsm zipo nyingi

Mfano Nywali, Glowyskin-tz,Skincafe tz
Skinzonetz
Aiken pharmacy
Skin care rm_expect
Wemyglam
Hao ni baadhi chagua mmoja wapo wacheki Instagram
 
Back
Top Bottom