Msaada: Usingizi na uchovu vinanitesa sana

Msaada: Usingizi na uchovu vinanitesa sana

Nenda hospitali ukafanye check sukari, pressure , hali yako ya figo moyo, damu....kikubwa anza mazoezi ya mwili damu izunguke vizuri..
 
Ni dalili za kutokufanya mazoezi ya mwili!! Fanya mazoezi ya kutosha, ukiweza gym ni nzurio zaidi!!
 
Back
Top Bottom