MSAADA,USIPITE BILA KUSOMA

MSAADA,USIPITE BILA KUSOMA

Mimi ni kijana (24), niliacha chuo MUHIMBILI 2017 baada ya kukosa ada ila matokeo yangu ni mazuri sanaa

O-LEVEL
1 ya 8

A-LEVEL
1ya 9

Sasa nipo mtaani life limetight so mwenye msaada wa KAZI YOYOTE YA HALALI,wazo la kimaendeleo anaweza nisaidia, mbarikiwe!!!

My contacts wakuu 0621863980
Uliacha mwaka wangapi mkuu?
 
Pole sana mkuu[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Kuna Jambo wazazi wako waliwaza wakati wanakuita "Godwin"...

Apply tena Chuo Mwakani... Pia Apply Mkopo!
 
Pole sana, apply tena chuo utapata mkopo
 
CCM jamani

Eeh Mungu shusha adhabu yako juu yao sasa.
 
Back
Top Bottom