habari wana jf mimi n mvulana mwenye miaka 22 nilikuwa na chunusi kwa muda wa miaka mitano mpka sasa lakin nlikuwa natumia dawa mbalimbali bila mafanikio ila mwaka huu mwezi wa kumi na mbili niliamua kutumia dawa za kimasai ndio nilipo haribika zaid baada ya hapo nkaenda kwa daktari bingwa wa ngoz akanipa dawa ya kupaka lakin ndo ikaniharibu zaid mpaka sasa na vidonda 2 na huyo daktar kwa sasa amesafir hayupo hapa mkoan mbeya rufaa sasa nshaurin nfanye nn maana naiona dunia siyo yangu tena!asanten