msaada uso wang umeoza( umeharibka kupita kiasi)

msaada uso wang umeoza( umeharibka kupita kiasi)

kirama00

Member
Joined
Jan 25, 2013
Posts
27
Reaction score
0
habari wana jf mimi n mvulana mwenye miaka 22 nilikuwa na chunusi kwa muda wa miaka mitano mpka sasa lakin nlikuwa natumia dawa mbalimbali bila mafanikio ila mwaka huu mwezi wa kumi na mbili niliamua kutumia dawa za kimasai ndio nilipo haribika zaid baada ya hapo nkaenda kwa daktari bingwa wa ngoz akanipa dawa ya kupaka lakin ndo ikaniharibu zaid mpaka sasa na vidonda 2 na huyo daktar kwa sasa amesafir hayupo hapa mkoan mbeya rufaa sasa nshaurin nfanye nn maana naiona dunia siyo yangu tena!asanten
 
tumia hz sabuni za magadi n nzuri sana tena sana m ndo zilinponya nlikuwa kama ww ila sasa ukiniona nna baby face tamuuuu hiyo,. kama vp nPM nkupe jinsi ya kutumia
 
tumia hz sabuni za magadi n nzuri sana tena sana m ndo zilinponya nlikuwa kama ww ila sasa ukiniona nna baby face tamuuuu hiyo,. kama vp nPM nkupe jinsi ya kutumia
huo sasa uchoyo.pm imehusu nini?kwa nini usiweke maelezo wazi?
 
tumia acne free.. mi kuna kipindi nilikua na stress nikatokewa chunusi nyingi mnooo..nilitumia makorokoro kibao bila mafanikio baadae nikaenda pharmacy nikapewa hyo it helped me a lot.. tumia hiyo na vori acne medication cleanser..
 
we una hatari wewe,si vyema kuchanganya madawa kama hivyo unavyofanya,ukitaka kubadili dawa inashauriwa ukae angalau kwa muda ndio ubadilishe dawa,huwez kubadilisha leo hii kesho ile,afu mwilini unahitaji muda usitegemee mabadiliko ya mara moja,fanya hivi kunywa maji mengi glass 6,8 na zaidi kwa siku,fanya mazoezi ya viungo,kula matunda sana na mbogamboga a majani,binafsi nilikuwa natatizo hilo nw natumia persol 2.5 na inanisaidia,si vyema kuchukua dawa tu hapa kila dawa ina manufaa kwa mtu fulani si kwa kila mtu,afu ukiweza osha uso mara mbili au zaidi kwa siku,sabuni ya magadi inaweza kuwa msaada pia.......
 
Baada ya kuosha uso pakaa utomvu wa jani la mu ALOE VERA
 
piga picha ficha macho ili sura yako isifahamike halafu weka humu,utapata ushauri mwingi tu
 
Back
Top Bottom