we una hatari wewe,si vyema kuchanganya madawa kama hivyo unavyofanya,ukitaka kubadili dawa inashauriwa ukae angalau kwa muda ndio ubadilishe dawa,huwez kubadilisha leo hii kesho ile,afu mwilini unahitaji muda usitegemee mabadiliko ya mara moja,fanya hivi kunywa maji mengi glass 6,8 na zaidi kwa siku,fanya mazoezi ya viungo,kula matunda sana na mbogamboga a majani,binafsi nilikuwa natatizo hilo nw natumia persol 2.5 na inanisaidia,si vyema kuchukua dawa tu hapa kila dawa ina manufaa kwa mtu fulani si kwa kila mtu,afu ukiweza osha uso mara mbili au zaidi kwa siku,sabuni ya magadi inaweza kuwa msaada pia.......