Nyakwec's Bro
JF-Expert Member
- Apr 27, 2012
- 820
- 174
Habari zenu wakuu,nina mdogo wangu amemaliza fomu 6 mwaka huu,nilikuwa ninahitaji kujua namna ya kutuma maombi
ya mkopo maana naona karibia kila mwaka taratibu zinabadilika nimepitia website ya HESLB sijaona maelezo ya uombaji
kwa mwaka huu,pia niona nyuzi za wadau wakiomba tu msaada katika hatua za mwisho.
Ningepennda mnisaidie hizo taratibu ili nianze kumfanyia dogo hayo maombi.
Asanteni sana.