ODILI SAMALU
JF-Expert Member
- Dec 13, 2013
- 1,369
- 489
Kama umedisco UDOM bora uklime tu shule huwezi..nenda kalime mbaazi
kwa alie DISCO anaapply kama kawaida sehemu zote TCU na HESLB. kupata mkopo vinaangaliwa vigezo vya kawaida kulingana na program, na ukipata mkopo utakuwa inactive hutaweza uchukua mpaka ufanye ACTIVATION kwa kulipa 25percent ya ule uliotumia awali
Apply upya chuo chochote, wala uspate tabu, hamna kutuma barua TCU wala nini. Fanya kama ndo umemaliza f6.
Na ushahidi kuna jamaa yetu amedisco Udsm mwaka huu ameapply last month, jana alivyoangalia kapata chuo na facult bora kuliko aliyokuwa anasoma Udsm...wala usiwe na shaka ndugu maneno ya watu yasikukatishe tamaa hakuna ugumu wowote.
mwaka huu wamedisco wanafunzi 689 kwa chuo kizima ni kawaida tukumbe na UDOM kuna kudisco mkuu?
mzumbe ni kama college tu alafu kuna coz chache mmno tofauti na udom kuna kila coz unayo ijua wew mpaka udocta tofaiti na mzumbe kwenye coz 25 na kama unapesa haudisco mzumbeHahhahahaa yaani umedisco UDOM afu unataka MZUMBE??? Kwangu ni sawa umeruka kinyesi cha kuku uka kanyaga cha mwanadamu kuwa makini na uchaguz wako
Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums