Msaada Utaratibu wa kuapply chuo kingine kwa undegraduate aliye disco

Msaada Utaratibu wa kuapply chuo kingine kwa undegraduate aliye disco

Pole sana mkuu fuata ushauri wakina kichwa ndio mtu,baba genoviva ushauri wao UKO poa
 
Sijawaelewa mnaoArgue Index No. Inamaana TCU hawajui kma kuna kuDISCO? Na kma ukisubiri Miaka yko ya kugraduate chuo ikaisha, kwan taarifa zako TCU nazo ztaexpye???
 
Wapi mleta mada kasema alisoma Udom akadisco? Au Udom imekuwa mti wenye matunda?
 
kwa alie DISCO anaapply kama kawaida sehemu zote TCU na HESLB. kupata mkopo vinaangaliwa vigezo vya kawaida kulingana na program, na ukipata mkopo utakuwa inactive hutaweza uchukua mpaka ufanye ACTIVATION kwa kulipa 25percent ya ule uliotumia awali
 
inachukua muda gani kuactivate? na ukillipa hiyo 25% unafuata utaratbu gani?
 
Apply upya chuo chochote, wala uspate tabu, hamna kutuma barua TCU wala nini. Fanya kama ndo umemaliza f6.

Na ushahidi kuna jamaa yetu amedisco Udsm mwaka huu ameapply last month, jana alivyoangalia kapata chuo na facult bora kuliko aliyokuwa anasoma Udsm...wala usiwe na shaka ndugu maneno ya watu yasikukatishe tamaa hakuna ugumu wowote.
 
kapata wapi na chuo gani??
 
Hahhahahaa yaani umedisco UDOM afu unataka MZUMBE??? Kwangu ni sawa umeruka kinyesi cha kuku uka kanyaga cha mwanadamu kuwa makini na uchaguz wako

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
mzumbe ni kama college tu alafu kuna coz chache mmno tofauti na udom kuna kila coz unayo ijua wew mpaka udocta tofaiti na mzumbe kwenye coz 25 na kama unapesa haudisco mzumbe
 
Ili usilipe 25% heslb inabidi uje kuapply tcu na heslb baada ya miaka miwili na utapata vyote bila tatzo!pole sana ndg!!
 
Back
Top Bottom