Msaada:utaratibu wa kuhama shule a level

Msaada:utaratibu wa kuhama shule a level

sifuri

Senior Member
Joined
May 12, 2013
Posts
154
Reaction score
88
wanajamii naombeni mnijuze ni utaratibu upi niufuate ili niwezekumuhamisha shule ndugu yangu yupo mtwara girls A LEVEL aende tambaza.mungu awabariki.
 
omba nafasi shule unayotska kuhamia watakupa maelekezo baada ya kuwepo kwa nafas
nakumbuka.
ni anwan yako kulia
anwan ya mkulugenz mtendaji
anwan afsa elim
amwan mkuu wa xle hamwa
anwan xle hamiwa na unaanzia chin kusain kwenda juu
barua ya kikaz
chin utajiongeza
 
Back
Top Bottom