profesawaaganojipya
JF-Expert Member
- Apr 21, 2015
- 1,595
- 3,416
Bila kitambulisho chochote mkuu? Huo ujasiri ntatoa wapi? Bibi hatembei ntakodi bajaj, halafu nimwambie dkt sina kitu? Sijui kama manesi wa kuandikisha watanielewa.Nenda hospital ya serikali ila uwe na ushahidi wa umri wake. Shida inakuja swala la dawa utanunua. Ila anaweza muona daktari bure kabisa. .
Kata NHIF ilioboreshwa kwa 30,000 na itatibu watu 6 kwenye familia ila utaisubiria kwa 2 month kuipata au fika ofisi ya mkurugenzi wa wilaya yako nenda chumba Cha ustawi wa jamii watakusaidia zaidi
Kweli mkuu nilikosea Ni CHF mkuuHakuna NHIF iliyoboreshwa ya 30000 mkuu,labda kama ulimaanisha iCHF(hii ndo chf iliyoboreshwa na unalipia 30k)
...Amesema 'Matibabu ya Bure Kwa WazeeKata CHF ilioboreshwa kwa 30,000 na itatibu watu 6 kwenye familia ila utaisubiria kwa 2 month kuipata au fika ofisi ya mkurugenzi wa wilaya yako nenda chumba Cha ustawi wa jamii watakusaidia zaidi
CHF ndo nini mkuu,mimi nina bima,nhif,hata mamangu mzazi ana bima ya nhif.Kata CHF ilioboreshwa kwa 30,000 na itatibu watu 6 kwenye familia ila utaisubiria kwa 2 month kuipata au fika ofisi ya mkurugenzi wa wilaya yako nenda chumba Cha ustawi wa jamii watakusaidia zaidi