Msaada: Uthibitisho wa malipo ya kodi TRA

aBuwash

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2023
Posts
262
Reaction score
497
Naomba kuuliza jamn wafanyabiashara wenzangu JF,

Hivi ukishakadiria kodi pale TRA na ukapewa na control namba ulipe labda awamu tatu ya mwisho wa mwezi. Sasa mfano mwisho wa mwezi umefika umelipa kodi ile kwa wakala kuna haja ya kwenda tena TRA kuhakiki malipo au unabakii tu na risitii yako mpaka awamu ya mwisho?

Mwenye uelewa naomba anipe maelezo maana nimelipa afu sielewi.
 
Hakikisha unahifashi uthibitisho wa malipo. Na hata kwa wakala ukilipa msg itakuja kwenye namba yako ya simu kama ulimpa, Ukiwa na uthibitisho wa malipo huna haja ya kwenda TRA.
 
Hakikisha unahifashi uthibitisho wa malipo. Na hata kwa wakala ukilipa msg itakuja kwenye namba yako ya simu kama ulimpa, Ukiwa na uthibitisho wa malipo huna haja ya kwenda TRA.
Asante bro nimekuelewa hapo
 
Huduma za Uhasibu na Ushauri wa Kodi (Kudeal na TRA) - Arusha

Mfanya biashara wa Arusha Je, biashara yako inakutana na changamoto katika kudeal na mambo ya TRA, usimamizi wa fedha, uhasibu, au masuala ya kodi?

Tunatoa huduma za ushauri wa kitaalamu zinazotolewa kwa biashara katika mkoa wa Arusha.

Huduma Zetu ni Pamoja na:
  • Kufuatilia mambo yako ya TRA: Barua za TRA na jinsi ya kufanya hesabu zako na kuzihifadhi ili kujweza kujibu barua na mambo ya TRA yatakayotokea mbele
  • Uhasibu: Uwekaji wa vitabu, ripoti za kifedha, upangaji wa bajeti, na ukaguzi wa ndani
  • Ushauri wa Kodi: Upangaji wa kodi, ulipaji wa VAT na kodi ya kampuni, utatuzi wa migogoro ya kodi
  • Ushauri wa Biashara: Upangaji wa kifedha, usimamizi wa hatari, upyaishaji wa biashara
Kwa miaka ya uzoefu na uelewa mzuri wa kanuni za Tanzania, tunasaidia biashara kuboresha michakato ya kifedha, kuhakikisha ufuataji wa sheria za kodi, na kukuza faida.

Wasiliana Nasi Leo kwa Ushauri:
📞 Piga Simu: 0787905966
📧 Email: isaacsunday228@gmail.com
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…