aBuwash
JF-Expert Member
- Dec 26, 2023
- 262
- 497
Naomba kuuliza jamn wafanyabiashara wenzangu JF,
Hivi ukishakadiria kodi pale TRA na ukapewa na control namba ulipe labda awamu tatu ya mwisho wa mwezi. Sasa mfano mwisho wa mwezi umefika umelipa kodi ile kwa wakala kuna haja ya kwenda tena TRA kuhakiki malipo au unabakii tu na risitii yako mpaka awamu ya mwisho?
Mwenye uelewa naomba anipe maelezo maana nimelipa afu sielewi.