Ipananga kulwa
JF-Expert Member
- Jul 24, 2017
- 573
- 293
Habari madaktari kama mada tajwa hapo juu nina zaidi ya siku 5 naamka asubuhi uume hausimami tafauti na awali hata kama nina mkojo je hili ni tatizo au ni hali ya kawaida naomba kujuzwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwani ni MWANACHAMA?Jitoe chaputa
Huyo atakuwa mwenezi kwa izo stori?kwani ni MWANACHAMA?
kumbe aiseeHuyo atakuwa mwenezi kwa izo stori?
Kapimwe Sukari kwenye Damu. Isije kuwa kisukari kimekuvamia nduguHabar madaktar,,,,Kama mada tajwa hapo juu ,,Nina zaidi ya cku 5 naamka asubuhi uume hausimami tafaut na awali hata kama Nina mkojo,,,je hili ni tatzo au ni hali ya kawaida....naomba kujuzwa
Mkuu Nina mawazo yakutosha nadhan yanakaribia kuwa Sonona (depression)Jaribu kupunguza mawazo huenda una msongo.
Mkuu axha hixo cna kadi aiseekwani ni MWANACHAMA?
Unanitsha mkuuKapimwe Sukari kwenye Damu. Isije kuwa kisukari kimekuvamia ndugu
jaribu kula mlo kamili na mazoezi ya kutosha utarudiMkuu axha hixo cna kadi aisee
Mchana huwa silal mkuuUmejaribu kuamka mchana imeshindikana...in Sizonje voice
Daah yawezekana maana cna aman kabisa najarbu kujichanganya na watu lakin WAP?Msongo wa mawazo,
Jenga furaha,stress ni sumu inaua taratibu
Axha utan aisee