kagombe
JF-Expert Member
- Mar 1, 2015
- 3,615
- 1,805
Aujapiga mke wa mtu mkuuHabar madaktar,,,,Kama mada tajwa hapo juu ,,Nina zaidi ya cku 5 naamka asubuhi uume hausimami tafaut na awali hata kama Nina mkojo,,,je hili ni tatzo au ni hali ya kawaida....naomba kujuzwa