Msaada: Uume hausimami niamkapo asubuhi

Msaada: Uume hausimami niamkapo asubuhi

Habar madaktar,,,,Kama mada tajwa hapo juu ,,Nina zaidi ya cku 5 naamka asubuhi uume hausimami tafaut na awali hata kama Nina mkojo,,,je hili ni tatzo au ni hali ya kawaida....naomba kujuzwa
Aujapiga mke wa mtu mkuu
 
Weee jamaa wewe, sasa mbona ilipokua inasimama haukutuambia labda imechoka imeamua kujipumzikia maana si wanasemaga raha jipe mwenyewe
 
Umenikumbusha mbali, niamkapo asubuhi uwasalimu wazazi,shikamoo mama,shikamoo baba hiyo ndio tabia njema, ila wewe kwako niamkapo asbuhi uume wangu hausimami,
 
Weee jamaa wewe, sasa mbona ilipokua inasimama haukutuambia labda imechoka imeamua kujipumzikia maana si wanasemaga raha jipe mwenyewe
Sikusema kwa sababu kusimama kwa uume ni jambo la kwaida kuacha kusimama c jambo la kawaida ndo maana nikaleta uz
 
Unanitsha mkuu
Mzee Mugabe alisema. Ukifika pahala huwezi kusimamisha asubuhi jitayarishe na kuandika wosia"
Afya yako ina uhusiano mkubwa sana na uwezo na hamu ya ngono
Kadri unavyokuwa na uwezo na hamu ya ngono ndivyo afya yako inapokuwa imara
Kupungua kwa uwezo huo ni kuxorota kwa afya yako ya mwili
Take action bro
 
Hamu ya ngono ipo ila tatzo ni pale ilipoacha kusimama asubuhi....maana ilikuwa naamka imesimama mpaka inakaribia kuchana boxer
 
inaonekana bado u18 kwa maandishi yako haya.. sasa ukifika 30 si ndiyo kwisha kabisa. Tatizo huanza kidogokidogo anza kufanya mazoezi ya viungo.
Kwa mazoez ni ushaur mzur ila kwenye miaka umebug men
 
Umenikumbusha mbali, niamkapo asubuhi uwasalimu wazazi,shikamoo mama,shikamoo baba hiyo ndio tabia njema, ila wewe kwako niamkapo asbuhi uume wangu hausimami,
Sasa nataka na mm niwe na Tabia njema ya shikamoo baba shikamoo mama
 
Back
Top Bottom