Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kimsingi uwe mlangoni,,lengo kupata hewa Safi ya asubuhiDuh, mkuu inafanyeje kazi hii? Mlango wa nje ya nyumba au Getini?
Homoni za Testosterone njoo inbox nikuandieHabarini ndugu zangu wa JF, naomba niende moja kwa moja kwenye tatizo ambalo kwasasa linaninyima radha ya maisha, nilifanya appointment na binti nikiwa vizuri kabsa na kabla ya hapo sikuwa na tatizo kama hili.
Binti alifanikiwa kupanda gari kuja eneo nilipo, ilikuwa ni kwa mara ya kwanza kufanya mechi nae, usiku wa kwanza nilifanya vizuri tu bila tatizo, na kesho yake asubuhi vile vile.
Baada ya hapo siku zilizofuata performance yangu ikashuka, nikawa natumia nguvu nyingi sana kupata hisia, japo nilijitahidi kwa uwezo wa Mungu akamaliza muda wake kwangu akijua naweza ( japo Kuna muda alistuka akajua Nina shida kitandani).
Akaondoka, tokea hapo mashine yangu imekuwa ikisimama kwa shida sana ( legelege) mwanzoni Hali hii kwa kweli imeninyima raha kabsa ndugu zangu. Nimekuwa mtu wa mawazo, na kiasi kwamba najiona dhaifu.
Nina week mbili Sasa mashine inasimama kwa wasiwasi, na ikisimama haina uwezo wa kuwekwa mahali ( sio imara).
Naomba kwa mtu anayejua tiba, ushauri anisaidie nimekuwa mtu wa kushinda nimelala nikiwaza.
Naombeni ushauri wenu au mwenye Tiba anisaidie.
Nilidhani nimesikia na kuona yote kumbe nilikuwa najidanganya. Leta mamboHabarini ndugu zangu wa JF, naomba niende moja kwa moja kwenye tatizo ambalo kwasasa linaninyima radha ya maisha, nilifanya appointment na binti nikiwa vizuri kabsa na kabla ya hapo sikuwa na tatizo kama hili.
Binti alifanikiwa kupanda gari kuja eneo nilipo, ilikuwa ni kwa mara ya kwanza kufanya mechi nae, usiku wa kwanza nilifanya vizuri tu bila tatizo, na kesho yake asubuhi vile vile.
Baada ya hapo siku zilizofuata performance yangu ikashuka, nikawa natumia nguvu nyingi sana kupata hisia, japo nilijitahidi kwa uwezo wa Mungu akamaliza muda wake kwangu akijua naweza ( japo Kuna muda alistuka akajua Nina shida kitandani).
Akaondoka, tokea hapo mashine yangu imekuwa ikisimama kwa shida sana ( legelege) mwanzoni Hali hii kwa kweli imeninyima raha kabsa ndugu zangu. Nimekuwa mtu wa mawazo, na kiasi kwamba najiona dhaifu.
Nina week mbili Sasa mashine inasimama kwa wasiwasi, na ikisimama haina uwezo wa kuwekwa mahali ( sio imara).
Naomba kwa mtu anayejua tiba, ushauri anisaidie nimekuwa mtu wa kushinda nimelala nikiwaza.
Naombeni ushauri wenu au mwenye Tiba anisaidie.
YHWHKwa ninavyoelewa kidogo Mungu sio jina ni cheo mfano! Usilitaje bure jina la baba yako? Nikisema kwa uwezo wa baba nitakuwa nimetaja jina lake? Hapana! Lipo jina la Mungu litafute utalipata
Bado hujapona mkuu? Ila tatizo lako limeanza ghafla sana bila sababu yeyoteNaombeni kama Kuna mwenye kujua Tiba au ushauri anisaidie
Umri wakoBado mkuu
Umri wdkoBado mkuu
Sawa mkuuOk
Hakuna Tiba ya Nguvu Za Kiume ukae ukijua
Fanya haya
Kuanzia asb mpaka jioni kula vyakula cha asili zinazochangia mwili kuwa na nguvu
Fanya mazoezi sana angalau nusu saa hasa ya kegel
Baada ya muda hali itaisha kabisa
Ukitumia Dawa Za kuamsha hali itazidi kuwa Mbaya zaidi
Baada ya haya kuyafanya Fanya checkup ya afya kwa magonjwa Kama UTI, kisukari, pressure Kama huna ukifanya hayo hapo juu tatizo linaisha kabisa
Ni zaidi ya chaputa.Madhara ya CHAPUTA hayo…
Umeoa