Msaada: Uume kushindwa kusimama

Homoni za Testosterone njoo inbox nikuandie
 
Nipende kushukuru sana hili jukwaa la JF, hakika hili jukwaa Lina watu wenye moyo sana wa kusaidia na wenye kulibeba tatizo kama lao.

Ashukuriwe sana mwanzilishi wa hili jukwaa la JF Maxence Melo hakika Mungu ambariki sana kwa kufikiria kuanzisha hili jukwaa.

Baada ya kueleza tatizo langu hapa Kuna watu wema sana walikuja inbox na wengine naendelea kuwasiliana nao, naomba nikishapona nitakuja kuwashukru hapa ila kwasasa Nina matumaini makubwa.


Ombi langu tuendelee kulitumia vizuri hili jukwaa, maana Kuna siku watu wengine watapata shida kama hii afu watakuja kutafuta rejea humu na kupata Tiba.
 
Nilidhani nimesikia na kuona yote kumbe nilikuwa najidanganya. Leta mambo
 
Ok
Hakuna Tiba ya Nguvu Za Kiume ukae ukijua
Fanya haya
Kuanzia asb mpaka jioni kula vyakula cha asili zinazochangia mwili kuwa na nguvu
Fanya mazoezi sana angalau nusu saa hasa ya kegel
Baada ya muda hali itaisha kabisa
Ukitumia Dawa Za kuamsha hali itazidi kuwa Mbaya zaidi
Baada ya haya kuyafanya Fanya checkup ya afya kwa magonjwa Kama UTI, kisukari, pressure Kama huna ukifanya hayo hapo juu tatizo linaisha kabisa
 
Tangawizi,

karafuu,

amdalasini,

limao(u)

kitunguu swaum

asali Lita moja,

vichanganye halafu unywe kijiko kimoja cha chai asubuhi na jion kila siku
 
Sawa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…